Kiungo alieachwa na klabu Yanga sc na kusajiliwa na klabu ya Ndanda "wana kuchele" Salum Telela ametimiza lengo lake la kurudi darasani akiwa mtwara.
 |
| Telela akiwa darasani |
Telela amabaye ambae ameanza masomo yake katika chuo cha
Stella Maris University tawi la Mtwara
Je, kiungo huyo ataweza kumudu kazi yake ya mpira na masomo?
Keep This blog site In Your Mobile For More Updates
Post a Comment