Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha dili la
kumsajili winga Shizza kichuya kutoka Mtibwa
Sugar kwa dau la milioni 20 na kumpa mkataba
wa miaka miwili.

Katibu Mkuu wa Simba Patrick Kahemela,
ameiambia Goal, tayari wamemalizana na
uongozi wa Mtibwa na mchezaji huyo kwa sasa
ni mali yao na atakuwepo kwenye kikosi cha
timu hiyo kitakachokwenda Morogoro kupiga
kambi.

“Tayari tumekamilisha dili la kumuuza Kichuya,
kwa hiyo ameshajiunga na wenzake wa
Simba, ni mchezaji mzuri ambaye tulikuwa
tukitamani kuwa naye siku nyingi tukiamini
anaweza kutupa mafanikio msimu
ujao,”amesema Kahemela.

Kiongozi huyo amesema wakati wanaendelea na
kambi wataendelea kusajili wachezaji
wapya ambao wataanza majaribio kupitia
mazoezi yao ya jijini.

Source (goal.com)

Thanks For Visiting, Our Website Come Again For News, Advertisement And Good Articles

Keep This blog site In Your Mobile For More Updates

Facebook Blogger Plugin by Tanzaniastar
https://www.facebook.com/Tanzaniastar

Post a Comment

 
Top