Mabingwa wa ligi kuu ya Uingereza kwa msimu uliopita klabu ya Leicester city wamekamilisha dili la kumsajili kiungo mshambuliaji wa klabu ya CSKA MOscow Ahmed MUSA kwa dau la £15
Kiungo huyo alionekana asubuhi ya leo katika kukamilisha vipimo vya mwisho katika klabu hiyo ya leicester city jijini Uingereza.
Facebook Blogger Plugin by Tanzaniastar






Post a Comment