Uongozi wa mabasi yaendayo haraka yajulikanayo kama MWENDOKASI. Udart
Umetangaza kuanzia tarehe 1/8/2016 utaratibu utabadilika katika huduma zao
Mabadiliko yaliyojijokeza ni kwamba Wanafunzi peke yao ndio ambao watakua wakitumia utaratibu wa kukata tiketi pekee na ,Na watu wazima wote watakua wakitumia Kadi .
Facebook Blogger Plugin by Tanzaniastar








Post a Comment