Kocha wa Manchester City wa sasa Pep Guadiola amesema kua aliekua kipa namba moja wa timu hiyo Joe Hart anaweza kuondoka endapo kipa huyo atabaki na msimamo wake wa kuondoka katika klabu hiyo.
Kocha huyo anaamini na angependa kumuona kipa huyo akibaki klabuni hapo na kuongeza juhudi ili kurejea katika kiwango chake cha awali na kurudi katika namba yake ya kudumu.
Kipa huyo ambae alianza kukaa benchi katika mechi ya kwanza ya ligi na Sunderland ambapo walishinda 2-1 . Lakin pia kocha mpya wa everton ameonyesha nia ya kumnasa kipa huyo.
Facebook Blogger Plugin by Tanzaniastar






Post a Comment