Kiungo bora wa zamani wa klabu ya Arsenal na Barcerlona Alex Dimitri Song Billong atimkia Nchini urusi katika klabu ya Rubin Kazan.
Kiungo huyo ambae alikua kwa mkopo wa muda mrefu katika klabu ya west ham lakini pia hakufanya vizuri na kuamua kutimkia klabuni hapo.
Facebook Blogger Plugin by Tanzaniastar








Post a Comment