Kocha wa Timu hiyo claudio Ranieri anatamani kumbakisha kiungo huyo lakini dau walilopeleka Chelsea linamridhisha kiungo huyo.
Kiungo huyo Bado kutua katika jiji la london ili kuanza kazi baada ya kukamilisha vipimo.
Facebook Blogger Plugin by Tanzaniastar








Post a Comment